Compare & Shop Coupons
ForeverShoppers Compare
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu, (Paperback)

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu, (Paperback)

$63.53
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903-1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi. Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu, (Paperback) Author: Mkuki na Nyota Publishers ISBN: 9789987083695 Format: Paperback Publication Date: 2020-06-03 Page Count: 476

Brand: | Store: Walmart

Go to Store